Showing posts with label HAPPY BIRTHDAY HUBBY. Show all posts
Showing posts with label HAPPY BIRTHDAY HUBBY. Show all posts

Thursday, April 10, 2014

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MUME WANGU MPENZI, aka BABA ALVIN "THE DON"

HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAFIKI YANGU, MPENZI WANGU, MUME WANGU
UMEKUWA NI MTU BORA NA MUHIMU SANA TOKEA UONEKANE MAISHANI KWANGU, VICHEKO VYA HAPA NA PALE, FURAHA, KUNIONYA NIKOSEAPO, MWEPESI WA KUOMBA MSAMAHA UKOSEAPO NA UPENDO WA HALI YA JUU. UMEKUWA BABA BORA KWA MTOTO WETU MPENZI ALVIN. HIVYO BASI SIKU YA LEO NAPENDA NISEME NASHUKURU SANA NA KUKUMBUSHA KUWA NAKUPENDA SANA MUME WANGU. 

UKIBAKI NA ALVIN UNAMUHUDUMIA VIZURI HADI RAHA

UMEKUWA BEGA KWA BEGA NA MIMI KUFANIKISHA HADI KUPUNGUA KWANGU UZITO....... NI MENGI SAANA YA KUKUPONGEZA NA KUKUSHUKURU....KWA LEO NI HAYA TU

MUNGU AKUPE UMRI MREFU NA AKUZIDISHIE HEKIMA TELE KATIKA MAISHA YAKO SIKU ZOTE

HAPPY BIRTHDAY HUBBY, SWEETHEART, BESTFRIEND, ROOM MATE etc.