Pages

Wednesday, June 20, 2012

NYUMBA YANGU THAMANI YAKE HAIZIDI ELFU 5

Hapa ndo ninapoishi...hapa ni Makurunge-Bagamoyo.....mkazi wa hapa akielezea...nilipajenga mwenyeweeeeee
Na hapa ni Bafu/Maliwato
Pia kilimo cha pili pili Mbuzi kama hivi..miwa kidogo...na mapapai pia
Zimestawi sana, karibuni mnunue
Oxygen ya nguvu...hakuna kunyang'anyana hewa...wageni wakija nazunguka nao huku nikiulizwa maswali mawili ...matatu
Pia Jongoo kama hivi hawakosekani.....wanasaidia kufanya udongo uwe active...hahahahhaha

5 comments:

  1. Esta nimeshtuka kuona huyo jongoo yani mwili wote umenisisimka naogopa huyo mdudu balaa

    ReplyDelete
  2. mmmhh taswira nzuri kweli nimependa hasa hizo pilipili ningependa ziwe bustanini kwangu.

    ReplyDelete
  3. Yasinta hizo pili pili zilikuwa zinakufaa wewe kabisaaaaaa

    Majoy jongoo hang'ati, usimuogope

    ReplyDelete
  4. yaani ni kweli kabisa ila nikipanda sasa itabidi nizingóe na kuweka kwenye makopo na kuweka ndani BARIDI:-(

    ReplyDelete