Hapa ulikuwa unaimbwa wimbo wa Jaydee ilifurahisha sana
Kiongozi alikuwa Muheshimiwa Ester Bulaya, hizo verse sasa, tulicheka, it was Funny
Mh. Surveyor Ester Ulaya na Mh. Mbunge Ester Bulaya tulifurahi kuonana kwa mara ya kwanza
Siku Ester Bulaya anatangazwa Mbunge nilipigiwa simu nyingi sanaaaaa, kupongezwa na msg ndo usiseme, Baba alipopiga akasema mwanangu mbona sijawahi kusikia unapenda siasa au kujikita huko???? nikamwambia baba huyo ni Bu.... na sio U..... akasema kumbe nimesikia vibaya, hadi leo wapo wanaochanganya
Mimi mfipa yeye ni Mnyantuzu, hapa akasema Bulaya ni kiruga ukitafsiri kwa kiswahili maana yake ni Ulaya, was happy meeting u Madame
Cake kutoka kwa Gadner na Jaydee iliwakilishwa na Linah
Kwa picha zaidi ingia http://kajunason.blogspot.com/2012/05/mheshimiwa-shy-rose-bhanji-asherehekea.html
9 comments:
Kwa kweli inafurahisha sana nimewaonea wivu...LOL safi sana kuwa pamoja Halafu wote mmetoka chicha...
Yasinta halafu nimeona anapenda sana kucheka kama mimi, yaani kucheka kwa kujiachiaaaaaaa, thanx dear
Kumbe wa kucheka tuko wengi jamani, nami mniongeze kundini...
Ester Bulaya na Ulaya hata mimi mwanzoni mlinichanganya sana.. Haya ukimwona tena nisalimie msukuma mwenzangu..
Da'Mija asante sana, kucheka raha sana, kunatuongezea umri
Nani niwekenikundini kwa kucheka .. halafu Ester swli la kizushi hizo nywele zako umesukaje? najaribu kuangalia sipata msuko wake upoje...
Yasinta mafundi ni wabunifu kila siku, yaani alikuwa anasuka anaachia ili zipishane hivyo hata nashindwa kukuelewesha, karibu kwenye chama lla wachekaji
Yasinta mafundi ni wabunifu kila siku, yaani alikuwa anasuka anaachia ili zipishane hivyo hata nashindwa kukuelewesha, karibu kwenye chama lla wachekaji
Haya nadhani nimeelewa inatosha nitakuja siku yake unisuke..Kwenye chama cha wachekaji nishakaribia na naona mtanifukuza maana nacheka mno...na ndani yake ni ukapulya mtupu..LOL
hahahahaha yasinta mi ukisema hivyo unanikumbusha mambo ya suti, karibu sana mpendwa, LOL
Post a Comment