Pages
Blog
About Us
Sitemap
Disclaimer
Archives
toolbar maker
Friday, February 3, 2012
WAMAMA WA KIFIPA WAKICHEZA NGOMA YA ASILI
Hapo wanatumia Vyungu na Viti/vigoda vya miguu mitatu, mziki unaotoka hapo ni mtamu sana. Ngoma hii Twaiita Vingwengwe, kwa kiswahili sifahamu
inaitwaje
Picha imeshuka kutoka Sumbawanga
,
Asante Vero
1 comment:
Mija Shija Sayi
said...
Vitu kama hivi tunatakiwa tusiviache vipotee bure.. hongereni kina mama.
February 5, 2012 at 2:23 PM
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Vitu kama hivi tunatakiwa tusiviache vipotee bure.. hongereni kina mama.
Post a Comment