Pages

Friday, February 3, 2012

WAMAMA WA KIFIPA WAKICHEZA NGOMA YA ASILI

Hapo wanatumia Vyungu na Viti/vigoda vya miguu mitatu, mziki unaotoka hapo ni mtamu sana. Ngoma hii Twaiita Vingwengwe, kwa kiswahili sifahamu inaitwaje
Picha imeshuka kutoka Sumbawanga, Asante Vero

1 comment:

  1. Vitu kama hivi tunatakiwa tusiviache vipotee bure.. hongereni kina mama.

    ReplyDelete