NILIULIZWA MAMBO MACHACHE NA SHEMEJI YANGU (kabelelejr.blogspot.com)
AMBAYE NI BLOGGER WA KITAMBO KUHUSU MIMI NA BLOG YANGU, NA VITU NIVIPENDAVYO.
INGIA HAPA http://kabelelejr.blogspot.com/2012/05/naomba-kumtambua-ester-ulaya-shemeji.html UPATE UHONDO HUO KWA UCHACHE
10 comments:
Nimepata uchache lakini katika uchache huo nimejifunza mengi zaidi. Unastahili hayo yaliyoandikwa mdada:-)
thats nice of u dada keep it up
hahahaha asante sana mdada
afu mi nlitoke kukupenda hata sijui sababu kweli duniani kuna natural love utafikr nshawah kukuona loh
Lenny asante sana, Mungu ni mwema na ana nguvu za ajabu sana, asante kwa upendo wako i do Appreciate kwa kiwango cha juu
Lenny asante sana, Mungu ni mwema na ana nguvu za ajabu sana, asante kwa upendo wako i do Appreciate kwa kiwango cha juu
Ester Mimi nakukubali kabisa..
Nafurahi kujua haya Mpenzi, nakuzimikiaje sasa? Endeleza libeneke
Da'Mija asante sana, nakukubali sanaaana pia dada mkubwa, nyie ndo viongozi wetu wa haya mambo
My wii Renata mi naona kama ile tarehe haifiki, nitaserebukajeeeeeeeeee, asante sana
Mi mwenyewe naona km tarehe zinarudi nyuma Mwee, Ngoja tumkabidhi manani my wii.
Post a Comment