Pages

Sunday, May 20, 2012

PATA KUJUA MACHACHE SANA KUHUSU MIMI

NILIULIZWA MAMBO MACHACHE NA SHEMEJI YANGU (kabelelejr.blogspot.com
 AMBAYE NI BLOGGER WA KITAMBO KUHUSU MIMI NA BLOG YANGU, NA VITU NIVIPENDAVYO.

10 comments:

  1. Nimepata uchache lakini katika uchache huo nimejifunza mengi zaidi. Unastahili hayo yaliyoandikwa mdada:-)

    ReplyDelete
  2. thats nice of u dada keep it up

    ReplyDelete
  3. afu mi nlitoke kukupenda hata sijui sababu kweli duniani kuna natural love utafikr nshawah kukuona loh

    ReplyDelete
  4. Lenny asante sana, Mungu ni mwema na ana nguvu za ajabu sana, asante kwa upendo wako i do Appreciate kwa kiwango cha juu

    ReplyDelete
  5. Lenny asante sana, Mungu ni mwema na ana nguvu za ajabu sana, asante kwa upendo wako i do Appreciate kwa kiwango cha juu

    ReplyDelete
  6. Nafurahi kujua haya Mpenzi, nakuzimikiaje sasa? Endeleza libeneke

    ReplyDelete
  7. Da'Mija asante sana, nakukubali sanaaana pia dada mkubwa, nyie ndo viongozi wetu wa haya mambo

    My wii Renata mi naona kama ile tarehe haifiki, nitaserebukajeeeeeeeeee, asante sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi mwenyewe naona km tarehe zinarudi nyuma Mwee, Ngoja tumkabidhi manani my wii.

      Delete