Mbio za magunia wanafunzi
Staff wakivutana kamba na wanafunzi....wafanyakazi walishinda
Mlinzi nae anakula flavour kwa dj...cjui anataka nyimbo za maadili
Kuku nao walikimbizwa na staff wa kike wa UDOM
Wenye orange ni wachezaji wa collage ya Humanities and Social Science
Light blue ni Collage of Education
Walikutana fainali na Education kuibuka washindi...wengine hapo ni Netball na Basket ball
Mashindano ya kupiga menyu wanachuo...
Kipaji kutoka moyoni
Zawadi kwa washindi mbalimbali
Mwakilish wa kampuni ya cocacola nae akitoa shukran..ndio waliokua wadhamini wa bonanza
Idrisa Kikula.....akitoa hotuba kwa wanachuo..katika viwanja vya Collage ya Social Science
Huyu ndo reporter wetu wa matukio yote haya kutoka UDOM Jembe Ulaya, asante sana
3 comments:
Ahsante kwa kutokuwa mchoyo wa matukio yaliyotokea. Hiyo ya kukimbia na magunia nimeipenda zaidi na imenikumbusha enzi hizooooooooooooooo!!
I miss days like these jamani raha kweli hiyo sack race is my fav
hizi siku huwa ni full raha jaman, nahisi walienjoy mno
Post a Comment