Mkomazi Nationala Park Ipo Mkoa wa Kilimanjaro, pia inapakana/ina share mpaka na Tsavo National Park ya Kenya
Milima ipo mingi tu
Kuna ndege wazuri wa kuvutiaWanyama wadogo wadogo kama hawa, wamejaa
Maua pori pia yapo Mkomazi
Mandhari mazuriiiiii yakuvutiaFahari ya Tanzania
Maeneo mengine ya Mbuga ni Msitu mzito, tuliambiwa huku juu wanaishi Vifaru
Maua mazurii meupe
Twiga wengi tu mbugani hapa
Hicho kidole kinaonyesha njia/mkuza ulionyooka, huo ni mpaka wa Kenya na Tanzania
Tujenge utaratibu wa kutembelea Mbuga zetu, hata wageni wanapofika tunakuwa tunajua/tunafahamu wanachokuja kukiangalia nchini mwetu na hawatupiku kuyajua tunayojidaia nchini mwetu
Miamba pia ipo, hasa juu milimani
1 comment:
Poa sana hii una refresh kwa kweli.
Post a Comment