Hapa ni Rwanda.........jamaa akiwa ardhini, eidha alishafariki au njaa kali au kazidiwa
Lakini watu wanampita tu bila hata kuwa na habari, hii hata bongo ipo hii, unapitwa tu bila watu kujali....ni wachache sana huwa wanachekiwa......lakini waewezakuta ni mbinu tu za aliyelala ukimsogelea kumsaidia unapigwa kabali ya fasta
Asante mdau kwa picha hizi
Kweli inafanana!!
ReplyDeletemaskini kweli Africa ni moja tu, hata kama ulikuwa na ka uhai kamebakia hakuna wa kukafanya kaendelee kuishi unalala mpaka unakufa. Ee Mungu ibariki Africa
ReplyDeleteKweli my wiii....Mungu atubariki tu kwakweli mengine yanakuwa nje ya uwezo wetu hata kuyatatua
ReplyDelete