Re-creation: A photo from 1890s pre-revolutionary Russia shows a massage session in full flow at Oriental baths of Tbilisi, now capital of Georgia
Treatment: The man on the massage table looks up at the photographer whilst the second man gets to work
hehehehehehhee uwiiiii
No pain, no gain: Performing an 'Eastern spine massage' the masseur stands on the man's hands and legs
And relax: A shisha-pipe has been brought in as one of the men gets a final scrub
Duh! hapo kaaazi kwelikweli ..maana sijui ni raha au maumivu?..nawaza tu kwa sauti.
ReplyDeleteKwa watu wa mazoezi, hapo hakuna maumivu... Nadhani hii ni bora zaidi ya hizi za siku hizi..ila duuh...
ReplyDeleteI would actually love this....where do I sign up? haha
ReplyDeleteahhaaa hahaa hapo my wii kuna kuvunjika mifpa manake mifupa yetu ya sasa migumu kama mawe ndo ukainyoshe hivyo tih tih tih, utakuwa unapata nka! nka! nka! kesho huamki
ReplyDeletekwa wenye mazoezi hapo inawafaa.....ila kama Da Mija uluvyosema za siku hizi ovyo kabisa....nafuu hizi zirudi ili heshima iwepo lol
ReplyDelete