Pages

Monday, January 14, 2013

HATIMAE TUKAKUTANA.........ILIKUWA FURAHA SANA

Dada Yasinta Ngonyani na mimi........tulikutana wiki iliyopita alikuwa akimalizia likizo na familia yake kabla hajarudi kunako makazi yake.......tuko busy twamsikiliza Mr. Mgaya
Mr. Mgaya mwenyeji wetu hapo akitupigisha story za hapa na pale


Kutoka kushoto ni mimi, Dada Yasinta wa Maisha na mafanikio blog, Mr. wa dada Yasinta, Mr. Mgaya na Kaka/rafiki wa karibu sana wa Dada Yasinta, hicho kiti empty ni cha mpiga picha wetu mashuhuri sana wa Kajunason Blog , asante sana kwa picha hizi .............kwakweli hii siku ilikuwa nzuri sana na fupi mno, tuliongea weeeeeeeee, ikabidi tu maongezi yakatishwe maana muda ulienda....kaka Chacha hayupo pichani alikuja baadae story zikanoka tukasahau hata kupiga naye picha ya kumbukumbu

Nawatakia j3 njema woteeeeeeee

4 comments:

  1. Kweli ilikuwa siku ya furaha kuonana uso kwa uso baada ya miaka mingi kujuana kwenye blog/mtandaoni...nilipenda muda usiishe ila ikabidi tuachane..Ahsante sana kwa siku hii.

    ReplyDelete
  2. wowwwwww my wii unatisha jamani hadi wivu umenishika nataka kuwa hapo mieeee, da Yasinta samahani ila nimekuonea wivu ghafla ahahaaa.

    MY wii itakuwaje mwezi wa sita sasa? leo nimepewa kiratiba tunafunga mapemaaaa cant wait.

    Huyo mpiga picha hapaswi kuwemo bwana aahaha sasa nani atapiga picha? husinambie ni kakangu tih tih tih. Ubarikiwe kwa ukarimu wako my wii

    ReplyDelete
  3. Niliwatamaniaje siku ile, lakini naona mliinjoi sana..

    Asante kwa picha Esther..

    ReplyDelete
  4. Da Mija tulikumiss sana hiyo siku......Da Yasinta kweli kabisa ilikuwa fupi.......My wiiiiiiii ukuje tena jamani, last time hatukuenjoy sana.....nakusubiri kwa hamu kubwa

    ReplyDelete