Ann McDonald, 60
Ameona ma wigi na kofia vyamzingua kila siku tuuu.....kaona achore tu tatoo ili kuepukana na adha ya nywele bandia
Imemgharimu £720 kuchora maua hayo kichwani
Bonge la tabasamu
Hapa ni mwaka 1995 kabla hajapata maradhi yaliyopelekea kukosa nywele kabisa kichwani
2 comments:
Huko juu si nkawa nawaza itabidi awe ananyoa kipara ili tatoo lionekane kumbe ana unwa maskini Kweli hujafa hujaumbika. Ila mpaka uipate hiyo idea huyu bibi ni noma.
yaani bibi aliwaza bonge la idea
Post a Comment