Wednesday, December 5, 2012

BIBI AAMUA KUCHORA TATOO KICHWA KIZIMA

 Ann McDonald, 60
 Ameona ma wigi na kofia vyamzingua kila siku tuuu.....kaona achore tu tatoo ili kuepukana na adha ya nywele bandia
 Imemgharimu £720 kuchora maua hayo kichwani
 Bonge la tabasamu
Hapa ni mwaka 1995 kabla hajapata maradhi yaliyopelekea kukosa nywele kabisa kichwani

2 comments:

kokusimah said...

Huko juu si nkawa nawaza itabidi awe ananyoa kipara ili tatoo lionekane kumbe ana unwa maskini Kweli hujafa hujaumbika. Ila mpaka uipate hiyo idea huyu bibi ni noma.

Interestedtips said...

yaani bibi aliwaza bonge la idea