@Yasinta; ------------------------ 7 Msipotoshwe: Mungu si wa kudhihakiwa. Kwa maana lolote lile analopanda mtu, atavuna hilo pia; 8 kwa sababu yeye anayepanda kwa mwili wake atavuna uharibifu kutokana na mwili wake, lakini yeye anayepanda kwa roho atavuna uzima wa milele kutokana na roho. 9 Kwa hiyo na tusife moyo katika kufanya yaliyo mema, kwa maana katika majira yanayofaa tutavuna ikiwa hatuchoki kabisa. 10 Kwa kweli, basi, tukiwa na wakati unaofaa kwa ajili ya hilo, tuwatendee wote mema, na hasa wale ambao katika imani ni jamaa zetu. _Wagalatia 6:7-10
2 comments:
Hata mimi nimeipenda mno ...swali nzuri je kuna tulilojifunza au?
@Yasinta;
------------------------
7 Msipotoshwe: Mungu si wa kudhihakiwa. Kwa maana lolote lile analopanda mtu, atavuna hilo pia; 8 kwa sababu yeye anayepanda kwa mwili wake atavuna uharibifu kutokana na mwili wake, lakini yeye anayepanda kwa roho atavuna uzima wa milele kutokana na roho. 9 Kwa hiyo na tusife moyo katika kufanya yaliyo mema, kwa maana katika majira yanayofaa tutavuna ikiwa hatuchoki kabisa. 10 Kwa kweli, basi, tukiwa na wakati unaofaa kwa ajili ya hilo, tuwatendee wote mema, na hasa wale ambao katika imani ni jamaa zetu. _Wagalatia 6:7-10
Post a Comment