Wednesday, May 30, 2012

HUWA SICHOKI KUANGALIA KUSHTI WRESTLING

 Hapa kuna hatari ya kuvunjwa shingo
 Pumzi shurti kuwa hafifu
 Mshindi katika pose
 Haya sasa mwamuzi akiwa kazini
 Unanijua..... unanisikiaa.....

duuuuu......lazima mshindi apatikane   
mengi zaidi angalia hapa

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hapo kazi ipo kwelikweli ..Naona kama mmmhhh nawaza tu kwa sauti na nimeacha:-)

Interestedtips said...

hahahahahah Yasinta usije kuwa umewaza kama mimi lol, maana hapo vitu vingi vyaweza tokea

Mija Shija Sayi said...

Na kweli "unanijua unanisikiaa"... Lakini wanaenjoy sana, hasa watazamaji..

Shukrani kwa burudani hii..

Interestedtips said...

asante Da'Mija, natamani kama siku moja nikawaone live, mimi wananifurahisha sana

cassieee said...

Very interesting! This is a sport in the country?;>