Karibu best... Wadau, hivyo visanduku vya rangi ya machungwa ndo black box za ndege ya ATC iliyoshindwa kuruka huko Kigoma. Hiyo moja inaitwa CVR (cockpit voice recorder) na nyingine ni FDR (flight data recorder). Majibu ya maswali yatokanayo na ajali ya ATC, yamo humo.
1 comment:

Mdau Chiggs
Post a Comment