Monday, March 19, 2012

FAMILY DAY ILIFANA

Kumsindikiza Captain G pia, kwa siku yake ya kuzaliwa

Tuna vitu vipya kundini, kutoka kushoto ni Wanty, Jide, Happy Happy na Cisca Kayombo
Huyu ni Stella (Mdau kutoka Tanga)
Upendo ulioje alifunga safari kuja kujumuika nasi
Na alifika ontime (kuliko wengine wote)




Till D............ DO US APART

Cake time
GK na Cute Smile wakilishana keki

Pretty Dacha, Wise Monica Kaaya na Leon Lee wakati wa maakuli, wote hawa ni wapya kundini.
Tunashukuru kwa kukubali kuwa nasi, tunazidi kulikuza kundi

Faraji mzee wa Zuberi akilipua Shampanyoo
Tukapiga Cheers kwa afya zetu

Picha ya Pamoja
Ester Ulaya a.k.a Mrs CA, Jide na Maggie
Beautiful Ladies
Tulijibebea mapema CD ya album YA 5 kwa usiku huo

Wanty na Stella
Asante sana Zainul wa Mo Blog  na Jide kwa picha 

Wency akisainiwa CD

Kushoto ni Imma kaka wa kwanza kabisa kundini, Mzee wa Zuberi pale kati na kulia ni Sab a.k.a Mamaa wa Parking


Wanty na Anna

Shukrani za pekee kwa Lady Jay Dee na Gadner G. kwa kupata wazo hili na kuanzisha familia hii, kwakweli ni nzuri sana na inatufanya tunaishi kama ndugu kabisa na tuna upendo wa hali ya juu,  La Familia idumu zaidi na zaidi, AMEN.

No comments: