Pages

Monday, February 27, 2012

WANAWAKE TUJIAMINI,TUJIPENDE NA TUJIHESHIMU

Vazi la Kanga nimedisign mwenyeweeeeee, kikoti ni katika kuweka ladha zaidi, hahaha upcoming designer, kaeni mkao wa kula, muda si mrefu mtapata kuona nguo nilizodesign

2 comments:

  1. Umekuwa Kama under 18 du wasije nifungia kaka kwa kuoa mtoto lol! Pendeza wewe design an viatu basi wifio nipate size yangu.

    ReplyDelete
  2. hahahaha my wii, uje sasa tudesign viatu vya migomba

    ReplyDelete