Pages

Monday, February 27, 2012

SMARTNESS IS AN ART, BEAUTY IS GOD GIVEN, MAINTAIN SMARTNESS

Huo muda wa kwenda Salon saa hizi uko wapi? Nitachelewa shughuli, ngoja nichukue zana zangu katika pochi nijihudumie
Njoo Shosti nikurembe, mwenzako hayo mambo hayanishindi, usije chelewa Sherehe yetu kwakuhangaika kujipodoa
Si unaona sasa unavyoanza kupendeza, nilikwambia mimi Mkareeee
Na hapa naweka ya mbaliiiiiii ambayo haikozi sana
Mwanamke Jicho hasa uwe nalo, mimi ndo Mpambaji wao, na Waliwahi kwenye Sherehe
Smart
Ukifika shereheni Lazima waseme ulipita Salon kidogo, kumbe ni mambo ya papo kwa papo
 
NB.Maandalizi ya Sherehe ya Kuaga na Kukaribisha Mwaka

3 comments:

  1. safi sana ndo maana tunabeba ma hand bag ndani tuna mengi, heri yenu mnamasalon sisi tushazoea unajipodoa mwenyewe mara wanja ukae kama mwezi mara powder kama umeanguka kwenye ndoo ya unga kwa kweli tunashida ila tunayapeleka hivyo hivyo. nimezimikia ukucha aisee hiyo ni ina? kama ni ina kwa kweli watu wanawezea kazi zao. Mwanamke jocho mamaaa

    ReplyDelete
  2. hahahahaha kweli kabisa, sometime mambo ya salon yanakawiza mambo, nitamuuliza kama hiyo ni hina au rangi

    ReplyDelete
  3. Na ndo uwe unatoka na mr. Sasa kila saa anaangalia mkononi saa ngapi, alafu umwambie napita salon mh yatakuwa mengine. Powa Asante Kama ni Ina nikija Nami nkachole tujembe twangu make mvuto ni wakipekee.

    ReplyDelete