Kanzu ilikunjwa, sebene likapigwa, viuno vikatawala
Ilikuwa ni jumapili tukapita kupata mchemsho wa kuku, tukakutana na dance la nguvu
Hapo sasa, burudani la nguvu
Ilikuwa ni uhamasishaji wa Safari Lager Nyama choma, Tausi-Kinondoni, hiyo tausi imefika 20 bora na shindano bado laendelea
Akapanda mwingine kuonyesha manjonjo yake
Tulicheka sana kwa kweli, jamaa alitufurahisha na uchezaji wake
Hahahaha inaelekea mlifaidia sana natamani ningekuwepo,
ReplyDeleteHahahaha inaelekea mlifaidia sana natamani ningekuwepo,
ReplyDeletehahahaha kuna muda alikuwa anacheza hadi chini, watu waakaanza kushangilia
ReplyDelete