Friday, April 10, 2015

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MUME WANGU MPENDWA CATHBERT

MUNGU AKUPE UMRI MREFU WENYE HEKIMA, BUSARA NA UPENDO. UENDELEE KUWA MUME BORA NA BABA BORA, UENDELEE KUWA RAFIKI BORA. NAKUOMBEA HERI NA BARAKA TELE KATIKA MAISHA. NAKUPENDA SANA NA MUNGU ATUSIMAMIE DAIMA AMEN

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA SHEMEJI WA MIMI KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA. mWENYEZI mUNGU NA AKUZIDISHIE MIAKA MINGI MPAKA UWAONA WAJUKUU NA VITUKUU: