Pages

Monday, April 14, 2014

NASIMAMA BY JAYDEE : MASHAIRI NA VIDEO

Wimbo mzima huu hapa, jiimbie kwa raha zako. ♥♡♥
Aliepanga ni manani 
Shida na riziki zangu 
Aliezitupa gizani 
Shida na tabu zangu oooooh ★★★★★ 
Nasimama na Mola 
Kwa kila jambo lile nitendalo 
Maneno ya watu bakora 
Yalinichapa nikaumia 
Lakini machozi machozi 
Nilolia zamani yashafutika 
Japo simanzi majonzi 
Yalojaa moyoni nikikumbuka 
Nilishaambiwa zamani 
Kinyago uchongacho 
 Hakikutishi ng'ooo 
Ndio maana nasimama 

Na alilopanga ★★★★★ 
Aliepanga ni manani 
Shida na riziki zangu 
Aliezitupa gizani 
 Shida na tabu zangu oooooh ★★★★★ 
Ukitazama kwa macho yako 
Huwezi kumjua mwema 
Mateso yako furaha yao 
Tena mengi watasema 
Moyo wa mtu kichaka aiiiih aaaah 
Mengi yalofichika aiiiih aaaaah 
Unaemdhania mwema 
Kumbe mchawi kwako 
Nilishaambiwa zamani 
Kinyago uchongacho 
 Hakikutishi ng'ooo 
Ndio maana nasimama 
Na aliepanga ♥ ♥ ♥ ♥ ♥

WIMBO MTAMU SANAAAA

No comments:

Post a Comment