Ndo maisha mama Alvin, hawezi kuwa kachanga tu..Ila kweli alikuwa na nywele nyingi na zilimpendeza...zikikua tena sasa usimnyoe:-)
Dah unywele ka shangazi yake hihii. Zilikuwa nyingi na nzuri kweli kweli hope dadake atakuwa nazo km hizi nazaidi. Ndo kukua huko. D huwa ananiambia mama kwa nini ulinyoa nywele zangu ona sasa zilizoota ni mbaya.
kweli kabisa dada yangu Yasintahhehhehehe my wii kama zako
Ndo maisha mama Alvin, hawezi kuwa kachanga tu..Ila kweli alikuwa na nywele nyingi na zilimpendeza...zikikua tena sasa usimnyoe:-)
ReplyDeleteDah unywele ka shangazi yake hihii. Zilikuwa nyingi na nzuri kweli kweli hope dadake atakuwa nazo km hizi nazaidi. Ndo kukua huko. D huwa ananiambia mama kwa nini ulinyoa nywele zangu ona sasa zilizoota ni mbaya.
ReplyDeletekweli kabisa dada yangu Yasinta
ReplyDeletehhehhehehe my wii kama zako