Pages

Monday, February 10, 2014

AJALI HIZI NI BALAA


 Ajali iliyotokea wiki iliyopita njiapanda ya Kiteto - Manyara, lilikuwa limebeba chumvi tairi likapasuka ndo majanga kama hivyo motooo
 Walifanikiwa kuokoa chumvi kidogo ila bodi lote liliwaka moto


No comments:

Post a Comment