Pages

Monday, October 1, 2012

MNADA WA IPULI-TABORA WAZIDI KUPAMBA MOTO

 Kila Jumamosi huwa ni mnada wa wanyama....na kuchoma nyama na vinywaji, hautofautiani sana na ule wa Dodoma
 Na hii ilikuwa ni siku ya Jumamosi tarehe 29/09/2012
 Mifugo ikitawaliwa kwa namna hii
 Bidhaa mbali mbali zikiuzwa


 Yebo yebo kwa wingi
 Mazizi ya Wanyama empty baada ya kuuzwa 
 Zana/silaha za kujilinda

 Upinde na Mishale sokoni
 Testing




 Tax, Boda boda na baiskeli zilikuwepo kutoa usafiri wa fasta kwa warudio


 Mifugo ambayo haikupata soko iliswagwa kurudi home

1 comment:

  1. Safi sana..Je ni kwa hela tu au? maana kuna sehemu nyingine unampa mtu chumvu naye anakupa machungwa .....

    ReplyDelete