Pages

Sunday, September 30, 2012

SUPU YA KONGORO KWA AFYA: JUMAPILI NJEMA



TAMU MNOOOOOO, NI KONGORO LA NG'OMBE HILI.....KARIBUNI

5 comments:

  1. inaonekana n i TAMUUUUU KWELIKWELI..ila naomba kuuliza KONGORO NI NINI?

    ReplyDelete
  2. ILIKUWA TAMU SANA DADA....HILI NI KONGORO LA NG'OMBE, ILE MIGUU YA NGO'OMBE INACHUNWA KITAALAMU INAKATWA VIPANDE INAPIKWA NDO INAKUWA HIVI....UNAWEKA CHUMVI TU

    ReplyDelete
  3. Supu ya kongoro, duuh kweli tamu, ndugu wangu inaonekana hujaishi kwenye mifugo, mmh, ndiye wale wakiona ng'ombe wanasema zinga la mdudu..lol

    ReplyDelete
  4. Ahsante kwa ufafanuzi ...na nimekumbuka sasa.

    ReplyDelete
  5. Nimetamaniiiii mpk nshashiba lol!

    ReplyDelete