Pages

Friday, September 7, 2012

WASHIRIKI WA REDD'S MISS KINONDONI 2012 WATAMBULISHWA LEO JIJINI DAR

Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam wakati wa wakiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la Redd's Miss Kinondoni 2012 ambalo litafanyika Septemba 14, kwenye ukumbi wa Cassa Complex, Mikocheni, Dar es Salaam. Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012.
Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012 akiongea machache na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, Redd's Miss Kinondoni 2012 wakati wakitambulishwa.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa na waaandaaji na wadhamini.
Waandishi wa habari wa Channel 10, Fredy Mwanjara aliyeshika kamera akiwa na mwenzake Saidi Kirumanga wakimfanyia mahojiano mrembo wa Redd's Miss Kinondoni 2012 Nahma Saidi.
Mwandishi wa Habari Saidi Kirumanga wakimfanyia mahojiano mrembo wa Redd's Miss Kinondoni 2012 Kudra Lupatu.
 Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.

No comments:

Post a Comment