Utalii kijijini Part I............Jan Peter, Theo Bense na Mwenzao
Mshikaji akiwa busy maeneo ya shambani
Pig/kitimoto anachungulia hapo kwenye tundu apate fresh air
Watoto kama kawa wakiona/tukiona ngozi nyeupe zikiranda maeneo yetu twawatumbulia macho
Jamaa yuko speed na bag lake kama akienda kupanda mlima Kilimanjaro
Yap mdada ....whats up.......wenzako wanakuacha, chapa mwendo uwakute
Walivutiwa pia na matanuri yetu ya kuchoma tofali.......kivutio hicho
Kwenye makazi pia walienda
Kama kawa....camera zao huwa ziko on.......na ya kwetu ikawanasa lol
Photo credit kwa reporter wetu Veronica, shukraniiiiiiiii
Photo credit kwa reporter wetu Veronica, shukraniiiiiiiii
Safi sana huhitaji kwenda mbali kwa ajili ya kutalii inapendeza na pia unakuwa unavitangaza vijiji...nimependa hii..maana vijijini huwa kunasahaulika sana.
ReplyDelete