Pages

Friday, August 24, 2012

PHOTO OF THE WEEK

MAMA HUYU ANAONEKANA NI MJAMZITO, KABEBA MTOTO NA ANA KUNI KICHWANI....HII PICHA NI YA JUZI HUKO MPUI - SUMBAWANGA

2 comments:

  1. Kweli ni picha ya wiki..halfu hapo juu ya mzigo wa kuni kuna kifurushi nadhani ni maharage mabichi...Duh! maisha haya jamani!!!

    ReplyDelete
  2. Kweli dada Yasinta, na muwa sijui huo pembeni.......kazi ipo

    ReplyDelete