Baadhi ya wananchi waliozitambua maiti zao wakisaidiwa na askari
Baadhi ya maiti za watoto, inasikitisha sana jamani
Baadhi ya wageni kutoka nchi mbali mbali wakiwa katika viwanja hivyo ili kujua ndugu zao na kupata utaratibu mwingine
HADI MCHANA HUU MAITI ZILIZOPATIKANA NI 39 KWA MUJIBU WA KAMANDA WA POLISI ZANZIBAR
POLE NYINGI SANA KWA WAFIWA, MUNGU AZIDI KUTUPA UJASIRI KUKABILIANA NA HALI HII
KWA MATUKIO ZAIDI TEMBELEA ISSA MICHUZI BLOG
wow did something happen to them? their faces look sad, hope everything will be fine! =) xx
ReplyDeleteLetters To Juliet
Mitha Komala...disaster at sea,The accident took place at Pungume, about 48km from Zanzibar - Tanzania
ReplyDelete