Pages

Thursday, July 19, 2012

KILA MARA JAMBO LIKITOKEA LIWE ZURI AU BAYA TWAKIMBILIA TUKISEMA NI MPANGO WA MUNGU, LAKINI IKUMBUKWE MUNGU AMETUPATIA MAMLAKA YA KUFANYA VITU KWA AKILI/UTASHI WETU...INA MAANA HATA TUKIFANYA UZEMBE LAWAMA TUZIPELEKE KWA MUNGU?????

JE! BAADA YA AJALI YA MELI MV. SKAGIT KUTOKEA UNADHANI LAWAMA ZIENDE KWA NANI

  
pollcode.com free polls 

No comments:

Post a Comment