Pages

Wednesday, July 25, 2012

CHALINZE @MBOGA SECONDARY SCHOOL

Chakani
Ngo ngo ngo........
The swagga continues

 
Soil cement block production


Mtendaji akitoa maelekezo namna ya ku oparate mashine hiyo
Matunda pori

Ukuta wa mfano wa matofali hayo
Ukuta wa matofari hayo, hauweki cement unayabananisha matofari tu

Mbio za mwenge mwaka huu zilipita hapo tarehe hiyo kwenye tofali kufanya uzinduzi wa mashine hizo na kuhamasisha ujenzi wa madarasa ya Sekondary hiyo
Vyoo

Parade/Assembly
Majengo ya shule yakiendelea kujengwa...na watatumia matofali hayo juu kujengea

Maji ya bomba shuleni hapo ni mengi sana tu, wana tanki la kuhifadhia maji pia

6 comments:

  1. Elimu haina mwisho. Kazi ukiijua vema haikupi shida maana watu wa kusini wanasema madengo ntiima[kazi ni moyo].
    Pamoja ndani ya swagga!!!

    ReplyDelete
  2. Elimu ni ufunguo wa maisha kaka Ray....umenena

    ReplyDelete
  3. Ukitaka kupata elimu usiulize umri wala kabila la mwalimu.Ualimu ni wito katika maana hii:
    Iwapo mwalimu ataamua kutimiza tu ratiba yake hakuna mwanafunzi atayeweza kufungua macho na kujua tofauti na dunia na ulimwengu.

    ReplyDelete
  4. Hongera kwa Mh. Rais J. M. Kikwete na Diwan wa Msoga Mh. M. S. Mzimba kwa juhudi zao katika kuanzisha na kuiendeleza shule iyo....

    ReplyDelete
  5. Hongera ziwafikie Mh. Raisi Jk, na Diwani wake wa Msoga Mh. M. S. Mzimba...kwa juhudi zao za kuhakikisha kwamba wananchi wa maeneo ayo wana hamka kielimu.....iyo shule ya mboga iwe chachu ya maendeleo ya kielimu katika vijiji vya chalinze...

    ReplyDelete
  6. Hongera kwa Mh. Rais J. M. Kikwete na Diwan wa Msoga Mh. M. S. Mzimba kwa juhudi zao katika kuanzisha na kuiendeleza shule iyo....

    ReplyDelete