HABARI ZA MSIBA ZIMETUFIKIA USIKU WA LEO  KWA MAJONZI TELE, UKIWA UMETOKEA HOSPITALI YA LUGALO
Msiba
 hauzoeleki hata siku moja,mnapoondokewa mnahuzunika na mara nyingi 
kulia...MUNGU alimbariki na kumpa miaka mingi duniani imefika wakati 
kaona imetosha,twarudisha shukrani kwake Muumba,R.I.P Esther Mogaya Wa 
Mankaba
RURAL & URBAN BLOG TUNATOA POLE KWA FAMILIA NZIMA KWANI NI WAKATI MGUMU MLIO NAO SASA, MUNGU AWAPE MOYO WA UJASILI MUWEZE KUHIMILI MIKIKI YA HUZUNI, KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA 
3 comments:
RIP bibi...
Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu..
Tuko pamoja.
AMEN
Oh maskini bibi yetu, Mungu ampokee na ampe nafasi mbinguni. Pumzika kwa Amani bibi yetu.
Post a Comment