Pages

Sunday, May 6, 2012

RUAHA NATIONAL PARK, THE BEAUTY OF TANZANIA

 Twiga kibaoooooo
Tembo haoo, shurti kutembea na watoto wao kila waendako
 Hapa ni kupanda juu kabisa ya mlima, kuna jiwe kubwaaaaaaaaa, inabidi nako pakafanyiwe upimaji, ni kupanda kwa kutambaa
Hatimae wakafika juuu
 Mbuga nzuri sanaaaa
Mimi kutambaa kwenye jiwe kubwa pale juu walinizuia, ikabidi nibaki huko juu ya jiwe lingine mlimani niwasubiri watoke kwenye lile jiwe lililo juu zaidi ndo tushuke wote chini
 Tukicheki maeneo ya Mbuga
 Pundamilia wengiiiiiiii
 Tupende kutembelea Mbuga zetu

3 comments:

  1. This is so inspiring! I would love to go on a safari one day :)

    Mally
    xox

    ReplyDelete
  2. Ester kwa kweli ni kweli kunapendeza na ni kweli tuwe tunatembelea mbuga zetu tusiwaache wageni tu wafaidi. Ahsante kwa kutushirikisha.

    ReplyDelete
  3. Mally ur welcome
    Yasinta asante san, usemalo ni sahihi kabisa

    ReplyDelete