Pages

Monday, May 7, 2012

HII BALAA SASA

 'I ate 20,000 calories a day, had a 6ft waist... and last left my house on 9/11': Horrifying life of the blonde-haired little boy who grew into the world's fattest man
    Keith Martin consumed up to 20,000 calories and would eat mounds of bread and take-aways
    He is now desperate to lose weight and is only consuming 1,500 calories a day

5 comments:

  1. Huwa nasema nataka kupungua kila kadhaa lakini nilipoona hii picha nikajikuta kama fimbo mweeh hakika kweli balaa!!

    ReplyDelete
  2. yAANI yASINTA KUANZIA LEO NAACHA DIET, TUNAHANGAIKA HIVI KUMBE WENGINE WAKO HIVI?????? DIET YANGU NITAANGALIA NILACHO ILI NISINENEPE KUFIKIA HUYU

    ReplyDelete
  3. Ester! umenena ni kwamba afadhali kuangalia unakula nini kuliko ku-Diet...angalia unaluka nini na bila kusahau mazoezi basi...

    ReplyDelete
  4. Ni mazoezi kwakweli ndo iliyobakia, inabidi ifikie mahala tumshukuru Mungu kwa miili tuliyonayo wengine wanaililia hii yetu jamani, nasi twahangaika weeeeeee

    ReplyDelete
  5. Duh kumbe mi potable si kitoto...kwa huyu aaah mi english figure banaaaa!!!!

    ReplyDelete