Bahati mbaya au nzuri tulikoenda leo hatukuwa na mwamvuli, ikabidi tu niombe huu mfuko wa sandalusi walau nijisitiri nisilowane sana,baadae mvua ilipungua yakabaki manyunyu, na inabidi safari iendelee, hadi kufika tuendakonikawa nimeloana kiwiliwili,kichwa kikawa na uafadhali
Safari ikiendelea
Haya ni maeneo ya Makongo mchana wa leo
Nimeupenda mwavuli wako mdada!!
ReplyDeleteYaani hilo jina la Sandalusi limenikumbusha mbali saaana....Yaani Ester umenichekesha sana, nakumbuka kwetu sasa...looh!!!
ReplyDeleteUbarikiwe dada mdogo.
Pole dia ila nakupenda kwa jinsi unavyoipenda kazi yako safi sana zidi kubarikiwa.
ReplyDeletemajoyy asante mpenzi, Da'Mija yaani hata mimi nilipoambiwa chukua sandalusi, nikakumbuka kijijiniiii, hahahahaha Yasinta yaani huo mwamvuli ulinisaidia nywele hazikuloana
ReplyDeleteEhehe aisee huyo alokujali Na mwanvuli anajali sana manake mwanamke unywele sijui ingekuwaje, vipi kamera nayo imepata?? Kweli neno sandarusi limenikumbusha mbali hasa enzi za dodoki mh! Asante kujali mamii
ReplyDelete@Ngaizaskids.. unazidi kunimaliza jamani... 'enzi za dodoki' nayatamani sana maisha yale...
ReplyDeleteAhaha full kutakata na mwili unang'aa km shilingi ya Nyerere ahaha ndo kwenda na wakati huko kunatutesa sana mpenzi.
Deletehahahahaha mmenikumbusha dodoki jamani, lol
ReplyDeleteNdiyo my wii yaani enzi zile ukishamaliza kuoga na kandambili zimetakata unakiwala na kandambili zako unasepa Ahhaa uwiii ngoja ncheke kihaya mie
Delete