Pages

Sunday, May 13, 2012

HAPPY MOTHR'S DAY: LOVE U SO MUCH MAMA

 Being a full-time mother is one of the highest salaried jobs in my field, since the payment is pure love.  ~Mildred B. Vermont
 I remember my mother's prayers and they have always followed me.  They have clung to me all my life.  ~Abraham Lincoln
 Once blessed with a wonderful mother, I am twice blessed with my mother-in-law.

Mazuri yangu mengi ni kutoka kwa mama mzazi, amanilea kwenye maadili mazuri sana, ninajivunia kuwa na mama kama huyu, hakuniacha nitange tange, yuko bega kwa bega nami hadi leo hii, nina kila sababu ya kumpenda na kumjali kwa lolote. Mungu azidi kukulinda na kukupa baraka tele 

Mama mkwe amenipokea vizuri sana, tokea nimfahamu hadi leo sina ninalojutia, zaidi nafurahi kumfahamu na ninashukuru kwa upendo wake kwangu, Love u so much mama mkwe

I love my mom very nyang'anyang'a(mno)

2 comments:

  1. Hongera akina MAMA wote kwa siku hii ya akina mama. Na tukumbuke tunaweza.AKINA MAMA OYEEEEEEEEEEEEE!!

    ReplyDelete
  2. YASINTA USEMALO NI KWELI, CLARA THANX DEAR

    ReplyDelete