Monday, May 28, 2012

Middle-aged British housewife, 56, facing death penalty after being caught 'smuggling cocaine worth £1.6million from Bangkok to Bali'

 Ila nahisi kuna watu wanatamani ndo hii mali ingekuwa mikononi mwao...NAWAZA TU KWA SAUTI
Mama anaona haya 
 Duh
 Pose la kuendea jela
 Kama movie kumbe hii ni kweli
Zaidi soma  Dailymail

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika mambo mengine ni kama hadithi ...Pole sana...Lakini hii yote ni kutaka pesa na pia kuharibu maisha ya wengine yaaani hao wanaovuta....nawahurumia sana.

Interestedtips said...

huruma sana, yanawatenda hasa