Pages

Thursday, May 17, 2012

BBA 2012: KAMA UKILEWA NDO UNATUKANA HIVI, WANYWAJI KUWENI MAKINI


Maana unaweza hata ukanywa maji mengi sana ukalewa, "nawaza tu kwa sauti"

6 comments:

  1. Kaaazi kwelikweli hayo majina waliyokuwa wanaitana, na hayo matusi duh! kweli pombe si maji...

    ReplyDelete
  2. Pombe sio maji...na pombe ni chachandu ya Ibilisi..Tupo pamoja

    ReplyDelete
  3. yaani Yasinta hayo majina makali kwakweli, Emu-three kweli kabisa Mzee wa kuwaza kwa sauti Kitururu upo?

    ReplyDelete
  4. Nipo Dada yangu!Haki ya nani -siachi kuchungulia sebule hii hata ki ukimyakimya!

    ReplyDelete
  5. ubarikiwe sana Kitururu pamoja sana

    ReplyDelete
  6. Cm imenibania mamii kesho kwa pc labda

    ReplyDelete