Wow! Mungu azidi ibariki Africa na atuepushe na viongozi wenye uchu wa kujaza matumbo badala yake atupe viongozi wenye upendo kwa watu wake na uchu wamaendeleo. Africa is Do natural.
yaani kwakweli ni pazuri Africa, so natural, tatizo wazungu wanatupeleka watakavyo, sina uhakika zaidi ila kama nimesikia Malawi imepitisha ndoa za jinsia moja, ngoja nifuatilie nijue undani zaidi, nimenunajeeeeeeeeee
Wow! Mungu azidi ibariki Africa na atuepushe na viongozi wenye uchu wa kujaza matumbo badala yake atupe viongozi wenye upendo kwa watu wake na uchu wamaendeleo. Africa is Do natural.
ReplyDeleteNaipenda Afrika yangu kwa kweli hiyo picha ya pili nimeipenda sana imenikumbusha Matetereka..ni hifadhi nzuri sana kwa nafaka.
ReplyDeleteyaani kwakweli ni pazuri Africa, so natural, tatizo wazungu wanatupeleka watakavyo, sina uhakika zaidi ila kama nimesikia Malawi imepitisha ndoa za jinsia moja, ngoja nifuatilie nijue undani zaidi, nimenunajeeeeeeeeee
ReplyDelete