Njiani kila dereva ana haraka
Ajali kama hizi huwa ni nyingi tu
Baadhi ya maeneo kulikuwa na ukungu sana
Haya maeneo ni baada ya kuvuka mto Wami
Ukungu + baridi = kazi kawa, wananchi wakienda kushughulika asubuhi na mapema
Usalama upo hapa?????????
Hata tujae vipi, lazima twende
Njiani baadhi ya maeneo mvua ilikuwa inanyesha
Moshi
Moshi wasafi sana, utupe uchafu chini uone kesi yake, hadi utoe faini ya elfu 50 ndo uachiwe
Kila dereva ana haraka, ni hatari tu
Kitu cha pasaka hiki jamani, unaanza na supu yake asubuhi, mchana kitu ndani ya pilau, jioni unamalizia na choma yae kwa kinywaji muruaaaa, Kanga hawa |
1 comment:
Awesome images!
Post a Comment