Tuesday, April 10, 2012

LALA KWA AMANI KANUMBA NI USINGIZI MZITO ALIONAO SASA


 Hili ndio kaburi aliloandaliwa Marehemu Steven Kanumba - Asante Haki Ngowi kupitia twitter
Actor Steven Charles Kanumba has been laid to rest.Kinachoendelea sasa ni uwekaji wa mashada ya maua by Jeff Msangi@BongoCelebrity
Mbunge Shibuda wa Maswa ndio ameweka shada kwa niaba ya baba mzazi ambae ameshindwa kuja. By millardayo.com kupitia twitter