Mdada na Helmet yake, wadau je! hapo mwilini mnasemaje bila kuwa na Jacket? |
Jacket huwa zinawasaidia kuprotect upepo unaowapuliza kwa speed kwani wanakuwa kama wanapingana nao, kuna kudhurika kifua, vichomi kupata, lakini wao hawawazi hayo wanaona poa tu |
Kama ajali hii jamani hadi huruma |
Mimi naamini atleast huu ni uvaaji mzuri wa dereva wa Piki piki, sasa hapa uwe na leseni yako halafu sheria za bara barani uzijue vizuri, utafurahia udereva wako |
N.B. Hayo niliyoyaeleza hapo juu ni mawazo yangu na uelewa wangu, kwani juzi niliumia sana kuna mtu namfahamu kapata ajali ya piki piki kavunjika kiuno, mwenye lolote la kushare karibu sana niandikie ester.ulaya@gmail.com
Nachukia pikipiki yaani Mungu anajua, Uganda zinapitapita mpaka unakasirika nazo, czipendagi kwa kweli zinakera. Sijui kwa nn walizipitisha Bk zilikuwa haziruhusiwi yaani zinachafua mji. Na nihatari, bila jacket ni kujinywesha sumu mwenyewe.
ReplyDeleteMimi naziogopa hadi basi jamani, mwenzetu kavunjika kiuno kwasababu ya piki piki, nimeshuhudia ajali nyingi za piki piki, sizipendi kabisa
ReplyDelete