Ujenzi wa Round About Tabora mjini, karibu na Uyui Secondary, Chuo cha Ualimu Tabora na Uwanja wa Vita, nadhani hadi hapo kwa maelezo hayo mmeshaifahamu ni Round About ipi hasa kwa wale wanaopafahamu Tabora
Stand kuu ya mabasi yaendayo mikoani
Walau bado bado pana hali nzuri, miaka mitano ijayo sijui patakuwaje
Soko kuu tabora katika mishemishe za maendeleo
Asante sana Mdau wa Blog yetu kutokea Tabora kwa Picha hizi
DUH! Mji huu sijawahi kufika!:-(
ReplyDeleteSimoni kumbe hujawahi fika Unyanyeme? basi utafika kwa njia ya picha na matukio kupitia hapa
ReplyDeleteAsante kwa Picha Ester!
ReplyDeleteAsante sana, pia nilimaanisha Unyanyembe
ReplyDelete