NAMSHUKURU MUNGU KUNIJALIA UZIMA NA UHAI HADI LEO.
NAWASHUKURU SANA WAZAZI WANGU KWA KUNILETA DUNIANI NA KUNILEA VEMA KIMAADILI NA KUNIPA MAHITAJI YOTE MUHIMU AMBAYO MTOTO ANATAKIWA KUPEWA.
NAMSHUKURU MUME WANGU KUWA NAMI BEGA KWA BEGA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU NA UPENDO ULIO NAO KWANGU NA MTOTO WETU ALVIN.
PIA MARAFIKI NI SEHEMU YA MAISHA YANGU, SIWEZI KUWASAHAU KWAKWELI MAANA MMEKUWA NAMI KATIKA SHIDA NA RAHA MUNGU AZIDI KUWABARIKI.
MWAKA HUU HII SIKU IMENIKUTA MSUMBIJI, NAONGEZA MWAKA NIKIJIFUNZA NENO LA KIRENO. MUNGU NAOMBA UZIDI KUNIPA UMRI MREFU WENYE HEKIMA, KUSALI, UPENDO, MAFANIKIO NA HESHIMA SIKU ZOTE. AMINA
Nikiwa na rafiki kutoka Commoro
Nikiomba nijaribu kuendesha
Nikijifunza
Captain nielekeze wapi nibonyeze speed iongezeke
Mapose tu ya picha
Mama Alvin
Mrs CA
PRE BIRTHDAY DINNER
Baada ya shughuli za siku, Wakasema kwakuwa tunakaribia kusherehekea siku yako ya kuzaliwa tukupeleke mahari tupige story mbili tatu
Andy, Marumoto, Parker, John and Ester
Wareno na mbwembwe zao, ikaletwa nyama mbichi juu ya jiwe la moto, STEAK STONE
Misosi ya Kataa Unene Family ...Salad
Nyama ikichomwa, jiwe likiivisha
Andy akifanya mambo
David Parker
Nyama ikiiva. Mjapani akigeuza geuza iive
Nyama laiini na tamu kama ya Kongwa Runch
Nili enjoy hasaa. Ilipofika saa 6 nikaimbiwa na kutakiwa mema, Asante sana Mungu
HÓNGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA. HALAFU ULIPENDEZA NIMEPENDA VAZI LAKO
ReplyDeleteAsante sana dada yangu kipenzi
ReplyDelete