Pages

Tuesday, September 16, 2014

BABA MWEMA NI YULE ANAYEIJALI FAMILIA KWA VITENDO





HONGERENI SANA BABA WOOTE MSIOKWEPA MAJUKUMU YA FAMILIA ZENU

3 comments:

  1. Haya kazi kwelikweli, nawatakia kila lakheli wababa wote wenye moyo huu/huo wa kusaidiana na wakezao katika malezi ya watoto.Ingawa nikiziangalia picha hizi kwa uhalisia wake kuna mambo mengi nayaona kwa undani kabisa kuhusu dhamira yao katika kumkombowa mwanamke na mfumo dume. kaka s

    ReplyDelete
  2. Inapendeza kuona kuna akina baba wanafanya hivyo: Hongera kwa familia ambazo zinafanya hivyo!!

    ReplyDelete