Enzi hizo kilikuwa kijiwe changu hasaaa.....nilikuwa nikitoka tuuu kazini nakuja hapa Beack Kidimbwi kupiga story na washikaji
Nilikuwa nakaa hapa hadi saa mbili usiku ndo naenda home........story zinapanda hasaaa hadi mbu wakizidi ndo napata hofu ya kujua kuna malaria ndo nainuka
Baadhi ya wadau tuliokuwa tukijumuika nao enzi hizo.....mwaka jana
Siku hizi Alvin anapenda sana kwenda na yeye Beach Kidimbwi kupiga story na watu wake wa nguvu
The Don himself akiwa na rafiki yake
Bonge la kumbukumbu..eeehh jamani Alvin kakua....HONGERA wazazi...
ReplyDeleteANAKUA DADA....ASANTE SANA
ReplyDelete