Oneni ukatili uliokithiri huyo mtoto alikuwa anaamulia ugomvi WA mama anapigwa na Baba, hatimaye yeye ndo kapigwa na mti na Baba yake mzazi.
Baba anaitwa Mussa Mgogo mtoto anaitwa Manzala Musa
Baba anaitwa Mussa Mgogo mtoto anaitwa Manzala Musa
Huyu ndo Baba mzazi WA mtoto
Haki ya Mungu mpaka machozi yamenitoka. Wawezaje kuwa mkatili kwa damu yako?... na je mtoto wa jirani?
ReplyDeleteni Ukatili hasa dada
ReplyDelete