HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAFIKI YANGU, MPENZI WANGU, MUME WANGU
UMEKUWA NI MTU BORA NA MUHIMU SANA TOKEA UONEKANE MAISHANI KWANGU, VICHEKO
VYA HAPA NA PALE, FURAHA, KUNIONYA NIKOSEAPO, MWEPESI WA KUOMBA MSAMAHA UKOSEAPO NA UPENDO WA HALI YA JUU. UMEKUWA
BABA BORA KWA MTOTO WETU MPENZI ALVIN. HIVYO BASI SIKU YA LEO NAPENDA NISEME
NASHUKURU SANA NA KUKUMBUSHA KUWA NAKUPENDA SANA MUME WANGU.
UKIBAKI NA ALVIN UNAMUHUDUMIA VIZURI HADI RAHA
UMEKUWA BEGA KWA BEGA NA MIMI KUFANIKISHA HADI KUPUNGUA KWANGU UZITO....... NI MENGI SAANA YA KUKUPONGEZA NA KUKUSHUKURU....KWA LEO NI HAYA TU
MUNGU AKUPE UMRI MREFU NA AKUZIDISHIE HEKIMA TELE KATIKA MAISHA YAKO SIKU ZOTE
HAPPY BIRTHDAY HUBBY, SWEETHEART, BESTFRIEND, ROOM MATE etc.
Hongera Sana baba Alvin,Mungu azidi kukulinda na kukubariki Kila iitwapo Leo. Hongera Sana mama Vin kwa kapata kilicho bora kwako.Mungu awe upande wenu na kusimamia safari yetu.
ReplyDeleteShukrani sanaa mpendwa Rachel kwa baraka tele
ReplyDeleteAsante sana mke wangu... Mungu akubariki sana
ReplyDeleteAmen Mpenzi
ReplyDeleteHongera sana Shemeji wa mimi Baba Alvin kwa siku yako ya kuzaliwa na Baba Mungu akuzidishia miaka mingiiii mpaka uwaona wajukuu na vitukuu...Na Hongera Ester Mdogo wangu.
ReplyDeleteAsante sana dada yangu mpendwa Yasinta
ReplyDelete